Tumezoea kuona miji mikubwa ikiwa na muonekano mzuri na ya kuvutia, lakini unaambiwa kuna vijiji pia duniani ni vizuri kwa muonekano, leo nimekutana na hii orodha ya vijiji 15 ambavyo vinavutia zaidi duniani.
15. Alberobello- Italy
14. Pariangan-Indonesia
13. Savoca-Italy
12. Göreme-Uturuki
11. Madison-Marekani
10. Júzcar-Spain
9. Reine-Norway
8. Sidi Bou Said-Tunisia
7. Wengen-Switzerland
6. Shirakawa-go-Japan
5. Burano-Italy
4. Bibury-Uingereza
3. Hallstatt-Austria
2. Oia-Ugiriki
1. Eze-Ufaransa
Social Plugin