Picha: JINSI WEMA SEPETU NA TUNDU WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
Thursday, February 09, 2017
Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu mchana huu kujibu tuhuma zinazowakabili.
Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uchochezi .Kesi inayomkabili Wema Sepetu ni kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin