SALOME REMIX KISUKUMA- CHADOGY NG'WANAMARIA Ft MANWELL- WAMEIPA JINA 'NGOLO'...NI NGOMA KALI BALAA
Sunday, February 12, 2017
Nimekusogezea wimbo unaitwa Ngolo kutoka kwa Chadogy Ng'wanamariaakimshirikisha Manwell,wote wakitokea Kahama mkoani Shinyanga..Ngoma hii ni remix ya wimbo Salome wa Diamond Platnumz.Wimbo huu umetengenezwa na Manwell kutoka studio za Hardtone Recordz za mjini Kahama.
Sikiliza Ngoma hii kali iliyorudiwa kwa lugha ya Kisukuma
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin