New Audio!! TIVE JUNIOR - NITULIE..SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA
Wednesday, February 01, 2017
Ninayo hapa ngoma mpya ya msanii Tive Junior kutoka Shinyanga mjini inaitwa Nitulie.Ngoma hii kali Kutoka Young Designer Crew imetengenezwa Producer Marquwinzer.
Isikilize na unaweza kuidownload kwa urahisi zaidi hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin