Ninayo Ngoma nyingine kali ya Msanii wa nyimbo za asili,Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,inaitwa Maria. Video imetengenezwa Bicon Studio zilizopo mjini Kahama.
Wimbo Maria ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7.
Bofya hapa chini ufaidi uhondo mtu wangu

Social Plugin