Kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili,Leo nakukutanisha na msanii Maarufu wa nyimbo za asili Mama Ushauri,"Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,wimbo unaitwa Baba Eliza...
Wimbo Baba Eliza ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7.
Tazama Video hapa chini
Social Plugin