Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video : MAMA USHAURI - SUMBHILI


Mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mshabiki wa nyimbo za asili,ninafuraha kubwa kukuletea video mpya  inaitwa 'Sumbhili' kutoka kwa Msanii machachari wa nyimbo za Asili Mama Ushauri maarufu 'Ng'ombe Bhulaya' kutoka Tinde mkoani Shinyanga.


Video hii ya 'Sumbhili',ina vionjo vyote vya asili,imetengenezwa Bicon studio za Kahama Mjini mkoani Shinyanga.

Itazame hapa chini video hii kali ya asili kutoka kwa Mama Ushauri 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com