TAZAMA VIDEO MPYA YA 'NYANDA MALIGANYA',MDOGO WAKE NYANDA MADIRISHA - WAYELA
Saturday, February 25, 2017
Utamaduni wa Malunde1 blog kila weekend kukusogezea ngoma za asili.Leo tunakualika kutazama video mpya ya "Nyanda Maliganya" kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga inaitwa "Wayela".Msanii Nyanda Maliganya ni mdogo wake na msanii Nyanda Madirisha aliyefariki dunia mwaka 2016 akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu.
Tazama ngoma hii kali hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin