Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA VIDEO YA MSANII SONGAMALA - NG'WANAJUMA..WANENGUAJI BALAA WEKA MBALI NA WATOTO

Kama kawaida yetu kukuletea nyimbo za asili kila mwisho wa wiki..Tunayo ngoma ya asili kutoka kwa Songamala kutoka Ushirombo mkoani Geita inaitwa Ng'wanajuma..Ngoma iliyobeba ujumbe mzito,wanenguaji wake balaa mtupu.

Tazama hapa chini  video hii.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com