Video Mpya Kabisa!! MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA'- MAMA JENI
Saturday, February 18, 2017
Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde mkoani Shinyanga ametualika kutazama video yake mpya inaitwa "Mama Jeni".
Wimbo Mama Jeni ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7.
Tazama hapa chini,ni ngoma kali sana
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin