Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA' - BARCELONA

Kama kawaida Malunde1 blog kukusogezea ngoma za asili,leo nakukutanisha na gwiji wa nyimbo za asili,Mama Ushauri maarufu Ng'ombe Bhulaya,ameachia video mpya inaitwa "Barcelona".

Katika wimbo Barcelona msanii Mama ushauri ameeleza namna ushabiki mpira wa miguu unavyovuruga ndoa nyingi,wanaume wanasaliti ndoa zao kwa kusingizia walikuwa wakiangalia mechi za ulaya.

Wimbo Barcelona ndiyo unaobeba jina la Albam mpya ya Mama Ushauri 2017,'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7 ambazo ni,Sumbhili,Maisha,Mama Jeni,Maria,Baba Eliza, Sahamani na Barcelona.

Tazama hapa chini,video ya Barcelona 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com