Video Mpya ya Asili: NYANDA NCHAINA 'MRITHI WA NYANDA MADIRISHA' - ILANGE
Saturday, February 25, 2017
Malunde1 blog inakualika kutazama ngoma mpya inaitwa "Ilange" ya msanii wa nyimbo za asili Nyanda Nchaina kutoka Kahama mkoani Shinyanga.Nyanda Nchaina ndiye aliyeridhi mikoba ya msanii Nyanda Madirisha aliyefariki mwezi Agosti mwaka 2016 akiwa wilayani Maswa mkoani Simiyu akijiandaa kufanya show. Tazama hapa chini video hii
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin