Ninayo Video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,inaitwa Maisha,itazame hapa chini..nzuri,ujumbe mzito,wanenguaji nao balaa mtupu
Wimbo Maisha ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 ,'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin