Ni weekend nyingine kwa wapenzi wa ngoma za asili tunakutana hapa Malunde1 blog kwa ajili ya kuburudika na vionjo vya asili...Leo tunakukutanisha na msanii Salum kutoka Kona Nne mkoani Tabora,ametualika kutazama video yake inaitwa "Zaina".
Ngoma hii imetengenezwa Studio za Passmedia zilizopo mjinii Kahama mkoani Shinyanga...Tazama hapa chini...wachezaji wake balaa mtupu viuno kama hawana mifupa..jionee mwenyewe hapa
Social Plugin