Malunde1 blog ni kisima cha nyimbo za asili na kila weekend lazima tukuletee ngoma mpya za asili.Weekend hii tumesafiri mpaka mkoani Mara,tunakukutanisha na magwiji wa nyimbo za asili Nelly na Bhudagala wote kutoka mkoani Mara.
Nelly anayeimba kwa lugha ya Kijaluo amemshirikisha Bhudagala Mwanamalonja anayeimba kwa lugha ya Kisukuma katika wimbo Bella.
Nelly anayeimba kwa lugha ya Kijaluo amemshirikisha Bhudagala Mwanamalonja anayeimba kwa lugha ya Kisukuma katika wimbo Bella.
Tazama hapa chini ngoma hii kali iliyobeba vionjo vya Kisukuma na Kijaluo
Social Plugin