WEMA SEPETU ATINGA MAHAKAMANI..KESI IMEAHIRISHWA HADI MACHI 15
Wednesday, February 22, 2017
Mwigizaji Wema Sepetu leo alienda tena Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 15 Machi 2017 baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi bado haujakamilika
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin