Leo Machi 28 2017 Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi ‘CUF’ Prof. Ibrahim Lipumba ameongea na Waandishi wa Habari kuhusu maazimio ya Baraza Kuu la Chama hicho.
Moja ya ajenda waliopitisha ni kumvua nafasi ya Ukatibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif na nafasi yake kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho bara Magdalena Sakaya.
Social Plugin