Video: NAPE AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI BAADA YA KUTUMBULIWA NA JPM, AKUBALI YAISHE UWAZIRI WA HABARI,
Thursday, March 23, 2017
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kutoka Ikulu kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa. Hali hiyo imetokana na Jeshi la Polisi kuuzuia mkutano huo ambapo RPC Kinondoni alifunga barabara kwa gari huku Nape akitishwa kwa Bunduki.
TAZAMA VIDEO HAPA AKIZUNGUMZA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin