NAPE NNAUYE AKABIDHI OFISI KWA WAZIRI MPYA WA HABARI TANZANIA
Tuesday, March 28, 2017
Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye amemkabidhi rasmi ofisi Waziri mpya wa Habari,Michezo,Utamaduni na sanaa Dkt Harrison George Mwakyembe.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin