Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha: BALAA LA MVUA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Leo Machi 13, 2017 mvua kubwa imenyesha jijini Dar es Salaam imeacha athari kubwa baada ya kuharibu miundombinu na kuwa kero kwa baadhi ya wakazi wa maeneo mengi kufuatia maeneo hayo kujaa maji. Ninazo hapa picha za maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathiriwa na mvua kubwa.









Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com