Najua kuna watu wanapenda kukaa kwenye Maktaba kusoma machapisho, vitabu na majarida mbalimbali, wakati Tanzania Maktaba ya kisasa inayoendelea kujengwa kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tukiisubiri ikamilike siyo vibaya nikikupitisha duniani kutazama Maktaba zenye mvuto zaidi.
1: Maktaba ya Dokk1 – Aarhus, Denmark
2: Maktaba ya Lawrence Public – Marekani
3: Maktaba ya Yangzhou Zhongshuge – China
4: Maktaba ya Beyazit – Uturuki
5: Maktaba ya Vennesla – Norway
6: Maktaba ya Bodø – Norway
7: Maktaba ya Chicago – Marekani
8: Maktaba ya Birmingham – Uingereza
9: Maktaba ya Halifax – Canada
10: Maktaba ya Conarte – Mexico
Social Plugin