RAIS MAGUFULI ATUMBUA MWINGINE....SAFARI HII KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Sunday, March 26, 2017
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin