TAZAMA VIDEO MPYA YA TRIZAH B - NITAKUFA NAWE
Wednesday, March 01, 2017
Nakualika kutazama video mpya ya msanii Trizah B inaitwa "Nitakufa Nawe".
Trizah B ni msanii wa kike,amekulia Kenya na Tanzania mkoa wa Mara,hivi sasa anaishi mjini Nairobi nchini Kenya.
Director wa video hii ambayo sasa inafanya vizuri katika vyombo vingi vya habari ndani na nje ya Kenya ni Crizo Mzeyah.
Tazama video Nitakufa Nawe ya Trizah B hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin