Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video: JINSI RAIS MAGUFULI ALIVYORUDIA MISTARI YA WIMBO WA 'MUZIKI' WA DARASA

Rais John Magufuli amekuwa akisifika kutokana na utendaji kazi wake lakini pia ni moja kati ya viongozi ambao wanaweza kuongea na wananchi na kuchombeza na maneno ya utani.



Licha ya kuwa Rais Magufuli ni mtu makini na mkali kwa watumishi wasiotekeleza majukumu yao lakini alifurahisha umati wa watanzania alipokuwa akiongea nao na kugusia wimbo wa ‘Muziki‘ wa Darassa katika sehemu ya hotuba zake kwa kunukuu mistari kadhaa

Msikilize hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com