Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

New Audio_ BHUDAGALA MWANAMALONJA - MEI MOSI 2017

Msanii Nguli wa Nyimbo za asili Afrika Mashariki na Kati Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara, ametualika kusikiliza wimbo wake mpya maalumu kwa ajili ya Mei Mosi mwaka 2017 unaitwa "Mei Mosi".


Wimbo huu ulioimbwa kwa lugha ya Kiswahili umebeba ujumbe mahususi kwa serikali ya uchumi wa viwanda ya Rais John Pombe Magufuli na wafanyakazi nchini Tanzania.


Bhudagala analilia heshima ya mfanyakazi.


Tumia dakika zako 6 tu kusikiliza wimbo huu,hakika utaupenda na kuusambaza kwa marafiki zako.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com