Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video: KUNDI WA MOTO - BAYOMBE

Kila weekend Malunde1 blog huwa inakusogezea ngoma za asili,leo tunakukutanisha na Msanii Kundi wa Moto kutoka Misungwi Mwanza aliyetualika kutazama video yake inaitwa "Bayombe".

Kundi wa Moto alikuwa mnenguaji wa gwiji wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja na sasa anajitegemea katika kuendeleza muziki wa asili.

Tazama video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com