Video : MACHUPI - MWAJUMA.....NGOMA KALI YA KISUKUMA,WANENGUAJI HATARII
Saturday, April 15, 2017
Ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii "Machupi" inaitwa Mwajuma. Machupi alikuwa mnenguaji wa gwiji wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja na sasa amejitegemea na kuanzisha kundi lake kama alivyofanya aliyekuwa mnenguaji wa Bhudagala Kundi wa Ng'wa Moto ambaye naye sasa ana kundi lake amejitegemea.
TAZAMA NGOMA HII KALI YA MACHUPI HAPA CHINI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin