Baada ya kuapishwa, Mbunge Salma Kikwete ameuliza swali kwa mara ya kwanza na kulielekeza OR-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa.
Tazama video hapa
Social Plugin