Jana mkutano wa saba wa bunge uliendelea ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018
Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, ambaye alisimulia jinsi alivyotupwa selo miezi minne gerezani huku dhamana yake ikiwa wazi.
==>Msikilize hapo chini akiongea
Social Plugin