Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZUA GUMZO BAADA YA KUTINGA BUNGENI NA MKE WAKE LEO DODOMA

Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Mkutano huu ni kwa ajili kupitisha bajeti ya Serikali itakayowasilishwa bungeni June 15 mwaka huu.



Hapa chini kuna video fupi ya Wabunge wakishangilia baada ya Spika Ndugai kutambulisha uwepo wa Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete bungeni.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com