Watu 4 wamefariki baada ya basi dogo kugonga lori katika Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza.
Taarifa ya RPC Tanga.
AJALI YA GARI T. 673 TOYOTA COSTA KUGONGA GARI JINGINE KWA NYUMA T 888 ALH NA TRAILLER LAKE T. 232 AND SCANIA NA KASABABISHA VIFO/MAJERUHI. KUMETOKEA AJALI ENEO LA LUSANGA MUHEZA BARABARA KUU NA TANGA -SEGERA AMBAPO TAARIFA ZA AWALI ZINAONYESHA WATU 4 (KE 2 NA ME 2) WAMEFARIKI. WATU 12 (KE 2 NA ME 10) WAMEJERUHIWA. - #EfmHabari
Social Plugin