Ninacho kipande kidogo cha video ya wimbo mpya wa msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde - Shinyanga inaitwa "Nani kama mama ?"
Nani kama Mama? ni video mpya ya Mama Ushauri anayotarajia kuiachia hivi karibuni .
Video hii imeongozwa na Jackson kutoka J Production Studio,Dar es salaam anayepatikana kwa simu namba 0743-943675.
Tumia sekunde zako chache tu kutazama kipande kidogo cha video hii kali (Demo).
Social Plugin