Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri amedondosha show babu kubwa katika kituo cha afya Tinde kilichopo wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga.
Mama Ushauri akiwa na wimbo mpya maalum kabisa kwa ajili ya mbunge wa viti maalum mkoa wa Shinyanga,Azza Hilal Hamad (CCM) akimpongeza kwa kutoa msaada wa vitanda vya kujifungulia na kulalia wagonjwa na viti vya wagonjwa katika vituo vya afya na zanahati mkoa wa Shinyanga.Soma zaidi <<HAPA>>
Nimekuwekea hapa picha wakati msanii Mama Ushauri akitoa show Tinde jana Jumamosi May 13,2017,kazi kwa wewe mpenzi wa nyimbo za asili popote pale ulipo duniani
Wanenguaji matata wa msanii Mama Ushauri wakiingia ukumbini
Mama Ushauri akiwa ukumbini
Mama Ushauri akiimba
Wanenguaji wakicheza
Mama Ushauri akiendelea kuimba
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Shinyanga Azza Hilal Hamad akicheza na wanenguaji wa msanii Mama Ushauri
Mama Ushauri akiimba kwa mbwembwe
Mwimbaji wa nyimbo katika kundi la Mama Ushauri Glady akiimba
Mama Ushauri akicheza na mbunge Azza Hilal Hamad
Burudani inaendelea
Wanenguaji wakifanya yao
Vijana wa hamasa kutoka kundi la Mama Ushauri wakitoa burudani
Burudani ikiendelea
Mwongozaji wa video Jackson akiwa eneo la tukio
Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Social Plugin