Mvua zinazoendelea kunyesha Bukoba mkoani Kagera zimeleta athari mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara
Eneo la Bulila Kemondo Bukoba Vijijini ,Barabara ikiwa imekatika kufuata Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuleta usumbufu kwa abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari katika kipindi hichi cha mvua zinazoendelea kunyesha.
Chanzo-Bukoba wadau blog
Social Plugin