TAZAMA VIDEO MPYA YA MEZA - UFUNGUZI WA GUEST YA NINDO...NI NGOMA KALI BALAA YA KISUKUMA
Wednesday, May 10, 2017
Ninayo hapa Video mpya kabisa kutoka kwa msanii wa nyimbo za asili MEZA inaitwa Ufunguzi wa Guest ya Nindo.Video hii kali iliyo katika ubora zaidi imefanywa na kuongozwa na Masesa wa ANGEL VIDEO PRODUCTION iliyopo Kahama Mjini mkoani Shinyanga anayepatikana kwa simu namba 0768075400.
TAZAMA HAPA HAPA CHINI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin