Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Nchaina kutoka Kahama ambaye mwaka jana 2016 alirithi mikoba ya kaka yake Nyanda Madirisha baada ya kufariki dunia akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu. Msanii Nchaina ametualika kutazama ngoma yake mpya inaitwa Rambi rambi,ni ngoma kali imeongozwa na Manwell kutoka Hardtone Studios za mjini Kahama
TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
Social Plugin