Breaking News!! BASI LA HARMANDOS LATUMBUKIA DARAJANI LAUA NA KUJERUHI
Friday, June 16, 2017
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Manyara zinasema kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.
Mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Taarifa kamili tutawaletea hivi punde...
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin