Habari tulizozipata hivi punde katika chumba cha habari cha Malunde1 blog ni kwamba zaidi ya watu watano wamepoteza maisha baada ya Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na Land Cruiser asubuhi hii katika eneo la Izengwabahara Segese Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Inaelezwa kuwa Hiace ilikuwa inatoka Kakola kwenda Kahama Mjini na Landcruiser ilikuwa inatokea Kahama Mjini.
Social Plugin