JINSI WANANCHI WALIVYOFURIKA KULIPIA KODI YA MAJENGO JIJINI MWANZA
Friday, June 30, 2017
Wananchi wa Jiji la Mwanza wakiwa wamepanga foleni nje ya Jengo la Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania Kanda ya Mwanza, kusubiri muda wao wa kwenda kulipia Kodi ya Majengo ambayo leo Juni 30 ndio mwisho wa kulipia kwa wale ambao bado.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin