Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Kutoka Ikulu: TAARIFA KUHUSU KAMATI YA PILI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU MCHANGA WENYE MADINI


Kamati ya Pili iliyoundwa na rais John Pombe Magufuli kuchunguza Mchanga wa Dhahabu imekamilisha kazi yake na kwamba itakabidhi ripoti ya uchunguzi wao siku ya Jumatatu  tarehe 12 Juni Mwaka,2017


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com