Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video: BHUDAGALA MWANAMALONJA - NG'WANAMPELLA 'BHASHIKE'



Tazama video ya Bhudagala Mwanamalonja inaitwa Ng'wana Mpella 'Bhashike'....nimeichukua kwenye maktaba yetu ya Malunde1 blog,ngoma hii ilitoka mwaka 2015 lakini mpaka sasa inafanya vizuri na inapendwa sana mashabiki wa nyimbo za asili.
Tazama hapa chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com