Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde mkoani Shinyanga ameachia video mpya inaitwa "Nani Kama Mama",ndani ya video kuna mheshimiwa Mbunge Azza Hilal Hamad akicheza
Tazama Video hii hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin