Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : MWANABHUDAGALA - IGEMBE


Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Masumbuko maarufu kwa jina la "Mwanabhudagala" kutoka Bhushola mkoani Shinyanga inaitwa Igembe .Imetengenezwa katika studio za Angel Studio Recording mjini Kahama ikiongozwa na mwongozaji mahiri wa video Masesa.

Tazama video hii hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com