Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya taifs siku ya maonyesho ya sabasba ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu.
==>Taarifa ya NIDA