Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI....SPIKA WA BUNGE AAGIZA MBUNGE HALIMA MDEE AITWE AHOJIWE BUNGENI





 Spika Ndugai ameiagiza kamati ya maadili ya bunge kumuita Mbunge Halima Mdee na kumhoji kwa maneno machafu ya kumdhalilisha Spika

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com