Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ambaye anaratibu mchakato
mzima wa matibabu ya Watoto watatu Nchini Marekani, waliojeruhiwa katika
ajali ya Basi la Shule ya Lucky Vincent ya Arusha iliyoua wanafunzi 32,
kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa huo amesema hali za watoto hao
zimeimarika na kwamba Wanatarajiwa kurejea nchini Tarehe 18/8/2017 siku
ya Ijumaa majira ya saa tatu Asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa
Kilimanjaro (KIA).
Kuhusu kama watoto hao mpaka sasa watakuwa wameelezwa chcochote kuhusu ajali iliyowakuta, Nyalandu amelijibu swali hilo
Kuhusu kama watoto hao mpaka sasa watakuwa wameelezwa chcochote kuhusu ajali iliyowakuta, Nyalandu amelijibu swali hilo
Social Plugin