Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAYA NDIYO MAAMUZI YA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA SC

Kamati ya Utendaji ya Simba SC imemteua Salim Abdallah na Iddy Kajuna ambao ni wajumbe wa kamati ya Utendaji kusimamia majukumu ambayo yalikuwa yakifanywa na Rais wa klabu Evans Aveva na Makamu wa Rais, Geofrey Nyange Kaburu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com