Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JERRY MURO AMETOA UJUMBE HUU MATATA BAADA YA KUMALIZA ADHABU YAKE

Ikiwa leo Ndiyo siku ambayo Jerry Muro anamaliza Kifungo chake cha mwaka mmoja ameandika Haya Kupitia Ukurasa wake wa Instagram.


"Natabasamu kwa kuwa Leo 02/07/2017, nimemaliza kutumikia Adhabu "DHALIMU" Kikombe nilichonywea mimi na wao wamekipokea wanaanza kunywea humo, Maisha ni kama Gwaride Kiongozi akisema Nyumaa Geuka wa mbele anakuwa wa MWISHO na wa mwisho anakuwa wa KWANZA, Vumilia ndugu YANGU @hajismanara nakuaubiria "USWAHILINI" Kaeni tayari kwa ujio Mpya @yangasc@simbasc @azamfc " Usiache Kulike Ukurasa wetu hapo Chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com