Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF Bwana James Mlowe akipokea tuzo kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli baada ya LAPF kuwa mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba katika kundi la mifuko ya Hifadhi ya jamii. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage leo Jijini Dar es salaam.
Meneja masoko na mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF Bwana James Mlowe Akipokea tuzo kutoka kwa Rais Magufuli baada ya LAPF kuwa mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba leo Jijini Dar es salaam.
Tuzoya Mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba katika viwanja vya Mwl Julius Kambarage Nyerere barabara ya Kilwa Dar es salaam. Tuzo hii ilikabidhiwa kwa Mfuko wa Pensheni wa LAPF na Rais Dr. John Pombe Magufuli leo Jijini Dar es salaam.
Afisa mwandamizi masoko na mawalisiliano Bi Rehema Mkamba akionyesha tuzo baada ya LAPF kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la mifuko ya hifadhi ya jamii na bima kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba 2017 leo Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi wa LAPF nje ya banda lao wakifurahia tuzo yao ya kuwa mshindi wa kwanza kundi la mifuko ya Pensheni na Bima katika maonyesho ya 41 ya sabasaba waliyokabidhiwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli leo.
Social Plugin