PICHA 5 ZA MBUNGE WA CCM ALIVYOTAKA KUPIGANA NA WABUNGE WA CHADEMA BUNGENI
الثلاثاء, يوليو 04, 2017
MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya viwanja vya bunge na kunusurika kupigwa na wabunge wa upinzani kutokana na kuwatambia kwamba atahakikisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ambaye yuko kifungoni anaendelea kusota huko.
Wabunge hao wa Chadema waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo
Hapo chini ni picha za tukio hilo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin